Bwawani, Makumbusho, Kijitonyama Ilala, Dar Es Salaam, Tanzania
Kampuni inayojihusisha na uuzaji wa viwanja. RealBiz ilianzishwa mwaka 2022, kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenye kipato cha chini kuweza kumiliki kiwanja. Malipo yake yanafanyika kidogo kidogo,mteja anaweza kulipia mpaka kwa miaka miwili. Kumiliki ardhi yako ni maendeleo yako ya kesho. Ardhi ni aseti isiyokufa wala kuharibika,itakusaidia katika Nyanja tofauti za maendeleo.
Managing Director