Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio. Ilala, Dar Es Salaam, Tanzania
Prime Location Investments Ltd tulianza kujihusisha na biashara ya kuza na kupangisha majengo (real estate agency) mnamo mwaka 2008. Miaka 9 baadae tulitambua umuhimu wa kuanzisha kitengo (Brand) kitakachohusika rasmi na uuzaji wa Viwanja, VIWANJA TANZANIA. Sisi ni wataalamu tuliobobea katika masuala ya kupangisha na uuza majengo pamoja na uuzaji wa viwanja vilivyopimwa vya ukubwa na matumizi ya aina zote, ikiwemo makazi, makazi na biashara, biashara na viwanda. Tumewekeza kufanikiwa sana katika nyanja hii kutokana na umahili wetu.